album cover
Muuh
501
Music
Muuh은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2025년 7월 26일일에 Kerly D에서 발매되었습니다.Muuh - Single
album cover
발매일2025년 7월 26일
라벨Kerly D
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM96

크레딧

가사

Swahili
Aloo lo lo lo lo!
MMMMH MMMMH
Aaa,
Moyo umepata barafu
Yanyuma sikumbuki
Yale mateso yote
Aaaah!
Me sio sururu la siafu tena
Sisambai kwa kijiti
Kwenye moyo wake
Aaae hee!
Siri sio siri moyo wangu upo hadharani
Nimeubakisha mwili akili kaiteka fulani
Aaa oooh
Nikueleze kwa maneno yaliyoko moyoni
Nikuonyeshe kwa mifano navyokupenda mimi
Aahh!
Wengine walikua Jojo nilitafuna nikatema
Ila we ndo yangu pipi nimemung'unya nimemeza mazima
Walio niambia sivyo ukipenda asili ya ukilema
Penzi halifundishiki nabaki naguna tu
MMMMH MMMMH
MMMMH MMMMH
MMMMH MMMMH
MMMMH MMMMH
Kwani haujilizi, hivi!
Me nshakua kama chizi, chizi!
Kunavitu nimeonja
Ila sio kwa utamu wako
AA ah!
Ikowazi, wazi!
Sikupi pingamizi, mizi!
Kunavitu nimependa
Ila sio kwa navyo kupenda wewe wewe
Baby
Uni bebe mpaka kwenye sayari
Ya mapenzi tukaishi wawili
Unanilegeza kwayako tanakali
Wanikidhi natuliza molali
Wengine walikua Jojo nilitafuna nikatema
Ila we ndo yangu pipi nimemung'unya nimemeza mazima
Walio niambia sivyo ukipenda asili ya ukilema
Penzi halifundishiki nabaki naguna tu
MMMMH MMMMH
MMMMH MMMMH
MMMMH MMMMH
MMMMH MMMMH
Kamix Lizer.
Written by: YOEL KAJORO SAMWEL
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...