album cover
Coco
album cover
Coco은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 7월 23일일에 Addahbtop Music ENT에서 발매되었습니다.Coco - Single
발매일2026년 7월 23일
라벨Addahbtop Music ENT
언어English
BPM89
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

-Binooo binnooo-
-Ndo hiiivyo tenaa Mapeeenzi-
Call me aaaaddah
Uwohohooo ohoooo yeeiyeeeh, mmmh...!!!
Wasikubabaishe maana wa kukuzidi sijamuona
Wa kujilinganisha nawe my angel sijaonaa
Wa kunikosha na kunipa kama hivi sijamuonaaa
Kweli penzi tam kama hili sijaonaaaa
Umenitoa kizani my dearling
Maumivu ya mapenzi buy buy
 
Moyo nao unakili umekubari
Hata ukitaka ndoa iko tayari
Na tushafanya mengi my dearling
Hakuna kipya kwenye hii sayari
Moyo nao unakili umekuri
Hata ukitaka ndoa niko tayari iiih iiiiih...!!
cooco coco,,,,,
 cooco coco...
Baby cooco coco
cooco coco
Wakulinganishwa nawe sijamuona
Wanajigonganisha ila sijaona
Wazuri na mapenzi ya kona kona
Nami kuendeshwa na vinyago nimegoma
Nikwambieee, nikwambieee ikifika ile mida unipigieee,
Nikusikiee nikuhadithieee
Ya kazini n\'nayoyapitia mieee
Umenitoa kizani my dearling
Maumivu ya mapenzi buy buy
Moyo nao unakili umekubari
Hata ukitaka ndoa niko tayarii
cooco coco,,,,,
 cooco coco...
Baby cooco coco,,,,
cooco coco
Written by: Abdallah Saidi, Ismail Juma

Loading...