album cover
Nitazoea
album cover
Nitazoea은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2017년 12월 28일일에 Novastar Entertainment Africa에서 발매되었습니다.Nitazoea - Single
2017년 12월 28일
라벨Novastar Entertainment Africa
BPM96
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

Mhhh yeah yeah
Uhh yeah, ahhh yeah
Kwanini uwe feki kwa penzi la kuungaunga
Ni bora uende straight kuliko nikufunga funga
Mwenzako nnaogopa stress(stress), kukicha wanivungavunga
Una ka-babyface, hivyo ndivyo ulivyoumbwa
Kama hunitaki bora useme bye bye
Ili ukajinafasi, ukaishi kwa kujidai
Huenda nikawa nuksi, upande wako nisikufae
Uondoe mikosi, tutaonana baadae
Uonevu uhhh, umenichosha mwenzio
Maumivu uhhh, sioni raha kilio
Roho yangu unaiweka juu
Haya sawa we nenda tu!
Hiiiii hi hi nitalia tu!
Nitazoea
Roho yangu unaiweka juu
Haya sawa we nenda tu!
Hiiiii hi hi nitalia tu!
Nitazoea
Mhhh, mmmmh
Huzuni simanzi moyoni mwangu vinanielemea
Mawazo kichwani nakukumbuka nimekuzoea
Tatizo na wala hilo kosa langu sijalitambua
Na kama kisasi usilipe kwangu unanionea
Kumbuka ukweli ndio unaishi
Hivi kwani kweli hunitaki eh
Eti iwe story kuwa tuliishi eh
Hivi kwani kweli hunitaki eh
Uonevu mhhh, umenichosha mwenzio
Maumivu huuuh, sioni raha kilio ehh
Roho yangu unaiweka juu
Haya sawa we nenda tu!(simama)
Hiiiii hi hi nitalia tu!(acha nilie na mpenzi wangu)
Nitazoea
Roho yangu unaiweka juu(mama wee!)
Haya sawa we nenda tu!(acha nililie penzi langu)
Hiiiii hi hi nitalia tu!
Nitazoea
Weka juu(ohh ehh)
Nenda tu(mamaah)
Nitalia tu
Nitazoea(mpenzi we)
Weka juu (mpenzi we)
Nenda tu(mpenzi eh ehh)
Nitalia tu
Nitazoea
(Galaxy Musics)
(Silee Mbarikiwa)
Written by: Enock Bella
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...