album cover
BONGA
album cover
BONGA은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 7월 20일일에 13256104 Records DK에서 발매되었습니다.BONGA - Single
2026년 7월 20일
라벨13256104 Records DK
BPM113
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Panawasha
Chini Panawasha
Panawasha
Chini Panawasha
(Baba Zu)
Panawasha
Chini Panawasha
Panawasha
Chini Panawasha
Kazi zetu sio mademu wamideko
Ila ukipata pisi kali, you gotta pay for
Mimi Mkali Mi ni noma kwenye game
So, Natikisa madude utasema Micheal Tyson
Kila Mbembe ni Ostadh
Bandika Bandua
Utavuma nikistafu
Hanika Hanua
Na uvivu kwenye kazi
Staki
Unajua mimi mkali kwenye Rap
Eti kila Mbembe ni Ostadh
Bandika Bandua
Utavuma nikistafu
Hanika Hanua
Na uvivu kwenye kazi
Staki
Unajua mimi mkali kwenye Rap
Nyie Wote Mnajuaah
Kamasa masa masa
Mimi sasa hivi ni star
Boxer ninavaa mara moja natupa
Maana aiwezi nifaa
Bonga
Mhh Amhh
Bonga
Bonga
Bonga
Mh Baba Mkwe
Bonga
Bonga
Bonga
Oh Bonga
Booongaaa
Ukijileta na mwasa (mwasa)
Sistaili kupigwa izo matatoos
I got the aura sio miluzi
Kila sehemu nikipita ile natoka namichuzi
Aunitishi
Mambo yako fresh, kishenzi
Hapa hakuna rapper kila rapper ni mshenzi
Mkiwa madume mkiregeza tu kamba nimagay
Nilivyo mkali, nitavimba hapa kwetu hadi kwenu
Ah
Vimbao mbao
Naitaji viwili kwakitanda
Nishapiga shift nani atalamba
Nishavichoka
Mambo ya Mmmhhh
Vimbao Mbao
Naitaji viwili kwakitanda
Nishapiga shift nani atalamba
Nishavichoka
Mambo ya mmmmhhh
Eh
Kamasa masa masa
Mimi sasa hivi ni star
Boxer ninavaa mara moja natupa
Maana aiwezi nifaa
Bangla Bantwana
(eehh)
Bangla Bantwana
Sjava Mafikizolo
Amafiki fiki fiki
Bangla Bantwana
Bangla Bantwana
(Eehh)
Bangla Bantwana
Sjava Mafikizolo
Amafiki fiki fiki
Bangla Bantwana
Eh
Huku kwetu nkom nkom, za bure
Ukitaka mbinti, wa shule
Kila kitu free free, quickly, kwik team, kwik steam, Kristy
Tawile
Eh
Huku kwetu nkom nkom za bure, eh
Ukitaka mbinti wa shule, eh
Kila kitu free free, quickly, kwik team, kwik steam, Kristy
Wacheki, wacheki, wacheki huu mtaa
Hapa kuna Noddy, Nzonzi lamababu
Yea
Na sijaanza Mziki leo
Kila sehemu nikipita naacha nga'o
Kamasa masa masa
Mimi sasa hivi ni star
Boxer ninavaa mara moja natupa
Maana aiwezi nifaa
Bonga
Mhh Amhh
Bonga
Bonga
Bonga
Mh Baba Mkwe
Bonga
Bonga
Bonga
Oh Bonga
Zuri
Zuri
Zuri
Sound
Written by: Dino Lubunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...