album cover

Mbio

3Afro-Pop2026
album cover
Mbio은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 8월 24일일에 ABZ Management (On Behalf Of Andrew Mwawana)에서 발매되었습니다.Mbio - Single
발매일2026년 8월 24일
라벨ABZ Management (On Behalf Of Andrew Mwawana)
BPM199
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

Ah moyo unakwenda mbio
Ah Moyo unakwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Kwenda mbio kwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Ah Moyo unakwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Kwenda mbio kwenda mbio
Sawa mimi ndo mjinga kwako
Sawa mimi ndo mnyonge kwako
Sawa nimepungukiwa kwako
Sawaaaaaaaah
Roho yangu imekwama kwako kisa bebi mapenzi
Usiniweke mbali mama utajanipa makesI
Huwaga nawazaga kifo ukiwa mbali mpenzi
Natetemeka baridi kali nakosa tunda fenesi
Huwaga nikipenda kweli napendaga kabisa
Usikate nyaya za moyo kifo kitanifika
Ingawa mi kibogoyo maini nitang'ata
Usitukane mamba ungali mto bado hujauvuka
Ah moyo unakwenda mbio
Ah Moyo unakwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Kwenda mbio kwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Ah Moyo unakwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Kwenda mbio kwenda mbio
Pilipili wasiyoila inawashia nini
Hawajui tumeshibana kama ng'ombe zizini
We kigego mi fisi dume nipe nyama ya ulimi beiby
Mi kipofu sina maana ukiniacha porini
Huwaga nikipenda kweli napendaga kabisa
Usikate nyaya za moyo kifo kitanifika
Ingawa mi kibogoyo maini nitang'ata
Usitukane mamba ungali mto bado hujauvuka
Ah moyo unakwenda mbio
Ah Moyo unakwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Kwenda mbio kwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Ah Moyo unakwenda mbio
Ah moyo unakwenda mbio
Kwenda mbio kwenda mbio
Woyoyoyoo
Nimpende nani
Kama sio kifo mie natafuta visa
Woyoyoyoo
Anipende nani anielewe nani
kama sio wewe mamaa
Written by: Andrew Mwawana

Shazam 꼬리말

언어 선택:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Shazam 팔로우하기

Loading...