album cover
Nikumbuke
album cover
00:00
00:05
00:10
00:15
00:30
00:50
01:25
01:45
02:05
02:35
02:40
02:45
02:50
03:10
03:25
03:30
03:55
00:00
04:05
지난 7일
Nikumbuke은(는) 지난 주에 약 30 초 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.

가사

[Verse 1]
Eeh Baba
Sio kwamba nateseka
Ama nina wivu na baraka za wengine
Hapana, niko sawa
Eeh Baba
Sio kwamba nakukumbusha
Kwamba labda umenisahau
Hapana, najua unanijua kwa jina
Unaona nayopitia
[PreChorus]
Ila kama mwanadamu, kuna muda
Moyo unauma, nazidiwa
Sa ntamueleza nani kama si wewe?
Ni kama mtu, kuna muda mambo
Yananizidia, nazidiwa
Sa ntamwambia nani kama si wewe?
[Chorus]
Unapowabariki wengine
Usiniache na mimi usiniache na mimi
Baba, nakungoja
Unapowapa riziki wengine
Unikumbuke na mimi unikumbuke na mimi
Baba, nakungoja
Unapowabariki wengine
Usiniache na mimi usiniache na mimi
Baba, nakungoja
[Verse 2]
Riziki mafungu saba pengine la kwangu la sita
Ila wewe pekee ndo unaweza ibadili hata ikawa kumi
Sifikirii Mungu Baba, kwamba mi ndo mwema kabisa
Ila naomba ipokee ikukupendeza dua yangu nifute hali duni
Baba, mi nikila na kulala
Kupata shiba tu naridhika wa
Wape magari, nipe ndala
Walau miba kusitirika
Ukinipa nyumba pia Allah
Siwezi danganya ntafarijika
Kingine Baba biashara wateja waje kutiririka
[PreChorus]
Maana kama mwanadamu, kuna muda
Mambo yananizidi, nazidiwa Baba
Sa ntamueleza nani kama si wewe?
Oooh kule ada huku kodi ya pango
Na mfukoni sina kitu sina mambo
Sa ntamwambia nani kama si wewe?
Oooh Baba unapowabariki wengine
[Chorus]
Unapowabariki wengine
Usiniache na mimi usiniache na mimi
Baba, nakungoja
Unapowapa riziki wengine
Unikumbuke na mimi unikumbuke na mimi
Baba, nakungoja
Unapofuta machozi wengine
Usiniache na mimi usiniache na mimi
Baba, nakungoja
Unapowainua wengine
Unikumbuke na mimi unikumbuke na mimi
Baba nakungoja
[Outro]
Oooh Baba nakungoja
Sina mwingine mimi
Baba nakungoja
Written by: Diamond Platnumz, Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...