album cover
Mimi
album cover
00:00
00:30
00:45
00:50
01:15
01:25
01:40
01:45
01:55
02:15
00:00
02:23
지난 7일
Mimi은(는) 지난 주에 약 1 분 and 15 초 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.

가사

Fyat
Yeah, yeah, yeah
Ina-record kweli?
Yeah, yeah, yeah
Na-na-night shift music
Nikona story real lakini ya mwere ndio anaamini
Kuna kitu haitakangi kuskia weekendi maini
Bitch naimada na wanakosa mwili
Game ni tamu najituma, silalamiki
Sikupendi, sikufichi
Nikona mali, nikona waristi
Mi ni bully
Unashangaa mbona siulizwi?
Pair tatu za boxers na nimvua ile ivi
What you do with that information is up to you
Nawatoa kijiko watoi wapate silver spoon
Bad yoy tomba rules, avoid fafu
I speak my truth, I don't know about you
Hatupatani kama right and left
Shughuli hainisaidii, nikona right ya ku-left
Ukinipima ni delete and forget
Hakuna mtu nahitaji, mi ntakufa na hii shit
Ju huyo ndio mimi
Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi
Look fisa
Sikosi kiswahili
Bling silver na tattoo kwa wingi
Ju huyo ndio mimi
Huyo ndio mimi
Ju huyo ndio mimi
Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi
Look fisa
Sikosi kiswahili
Bling silver na tattoo kwa wingi
Ju huyo ndio mimi
Huyo ndio mimi
I'm that ****, kidole kwa trigger
Bullet ya kila mtu except the man in the mirror
Hii ni movie, thriller
Pesa sina
Kuchezea na mboka yangu ni kunikosea heshima
Nikona madimanga, nahitaji mtu wa mkono
Fisa na maringo kidogo
Plugga, mi hupurura stocko
Hawatakimbizana na damu moto
Huku ni kwangu na mtakaa venye nasema
Karibu nishikwe na matire nikazimeza
Mbato, hamfai kunielewa
Nawapea till venye kunaenda
It's a one-man show
Penye pesa iko na goal
Niko na career ina-grow
Usiniitie shagla haina dooh
So what?
Nime-fuck so and so
Floor iko na virusi
Labda uiguze na gloves
Ju huyo ndio mimi
Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi
Look fisa
Sikosi kiswahili
Bling silver na tattoo kwa wingi
Ju huyo ndio mimi
Huyo ndio mimi
Ju huyo ndio mimi
Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi
Look fisa
Sikosi kiswahili
Bling silver na tattoo kwa wingi
Ju huyo ndio mimi
Huyo ndio mimi
Fyat
Na-na-night shift music
Written by: Zien Kapitani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...