album cover
Crazy
album cover
Crazy은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 10월 5일일에 Makers Gang에서 발매되었습니다.Chapter One - EP
2026년 10월 5일
라벨Makers Gang
BPM136
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Kuna mtoto wa mtu me mtaka Ila sidhani kama nae ananitaka Lips piano Sauti hivi ameumbwa kwa udongo ama mchanga Eeei zuzuzu unanichanganya mama we kama mapenzi uchizi acha nipagawe uuhuu si nime yataka mwenyewe Kwako Sawa nishajitoa Sadakalawe
Haya sio mapenzi this is crazy Haya sio mapenzi ni ukichaa Haya sio mapenzi ni jujujujuju Haya sio mapenzi ni ukichaa Haya sio mapenzi this is crazy Haya sio mapenzi ni ukichaa Haya sio mapenzi ni jujujujuju Haya sio mapenzi ni ukichaa
Uuu aaaa nikikwona ujue najisifu raha kama ngedere naficha sura Umemixx oblongata na medulla roho roho unaiweka juu Haya mapenzi Au ni nini libwata aja aja jini jini namtaka mwenzenu mahaba Me yashani poteza nishaingia chaka kupendwa huku kupwendwa gani kuvuka mipaka
Eeei zuzuzu unanichanganya mama we kama mapenzi uchizi acha nipagawe uuhuu si nime yataka mwenyewe Kwako Sawa nishajitoa Sadakalawe
Haya sio mapenzi this is crazy Haya sio mapenzi ni ukichaa Haya sio mapenzi ni jujujujuju Haya sio mapenzi ni ukichaa Haya sio mapenzi this is crazy Haya sio mapenzi ni ukichaa Haya sio mapenzi ni jujujujuju Haya sio mapenzi ni ukichaa
Written by: Meja Kunta

Loading...