album cover
Jembe
album cover
Jembe은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2026년 10월 8일일에 SixxtuneAfrica에서 발매되었습니다.Jembe - Single
2026년 10월 8일
라벨SixxtuneAfrica
BPM97
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

Yeah Sema Nao yeah
Usijisahau nawala usisahau kama wewe ndo Jembe nyumbani unategemewa

Usisahau ulipotoka ahadi ni nyingi ulipotoka
Waliamini ukitoka mguu wakutoka nakumbe bado ujafika na umechoka yeah
Acha watu waonge kuhusu wewe maana kipo cha kujifunza hii vita tunapigana wenyewe elimu ya mtaani ndo imetukuza
Acha watu waonge kuhusu wewe maana kipo cha kujifunza hii vita tunapigana wenyewe elimu ya mtaani ndo imetukuza
Usijisahau nawala usisahau kama wewe ndo Jembe nyumbani unategemewa
Usijisahau nawala usisahau kama wewe ndo Jembe nyumbani unategemewa
Bila kuchoka we piga kazi mwanangu tunaondoka ukiona wanakubania wanakuogopa
Siku zote penye nia pana njia ilinyooka
Maisha stress nakukosa ni kawaida hakuna kazi mwanangu isiyo faida
Maisha nakukosa ni kawaida hakuna kazi mwanangu isiyo nafaida
Acha watu waonge kuhusu wewe maana kipo cha kujifunza hii vita tunapigana wenyewe elimu ya mtaani ndo imetukuza
Acha watu waonge kuhusu wewe maana kipo cha kujifunza hii vita tunapigana wenyewe elimu ya mtaani ndo imetukuza
Usijisahau nawala usisahau kama wewe ndo Jembe nyumbani unategemewa
Usijisahau nawala usisahau kama wewe ndo Jembe nyumbani unategemewa
Maisha stress nakukosa ni kawaida hakuna kazi mwanangu isiyo na faida

Yeah Sama Nao Music Ucho Gun
Written by: Ucho Gun
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...