album cover

Simama

1,094Afro-Pop2026
album cover
00:00
00:05
00:25
01:10
01:20
01:25
01:30
01:50
02:05
02:10
02:25
02:45
03:05
03:25
00:00
03:44
지난 7일
Simama은(는) 지난 주에 약 2 분 and 45 초 시점에에 가장 많이 검색된 곡입니다.

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

[Verse 1]
Mwanzoni kiatu kilinioversize
Siku hizi kinanibana bana (Bana)
Nowadays your love make me realize
For you I walk through the savanna
Eh eh change gear ah angani
Shikilia usukani, angalia honey bunny
Usije achia njiani
Hawanipati kwa ndumba wala kwa dawa
Jeuri yangu ni wewe naishiwa power
Purukushani kasumba za nini mwaya
Huba langu ni wewe jua kuzama
[Chorus]
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
[Verse 2]
Chui! Mh-mh, mh
Nampongeza baby wangu ameokota dodo dodo
Mzuri alafu unajua kupendeza nikitongozwa sina shobo bobo
Vile tunaendana kama Jux na Priscilla Ojo jojo
Chumbani najua kukatika kushinda Mose Iyobo bobo
Sijuti kukupa pendo madhubuti
Japo wengi wana chuki
Ila maneno yao sumu kuki eh
Nalamba asali kwa nyuki
Mautamu haya ntapata kwa yupi eh
Ananipa kuchikuchi Kajoli wa kuchemsha kutoka Vingunguti eh
Nakamia chumbani yananimwagikia tsunami
Shikilia usukani usije niachia njiani
[PreChorus]
Kwa heshima na taadhima namtambulisha baby (Simama)
Kwa heshima na taadhima namsimamisha baby
[Chorus]
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
Hapo ulipo, simama, huko ulipo, simama
[Outro]
You know the sound
Simama
Simama
Simama
Simama
The Mix Killer
Written by: Maua salehe Sama, Raymond Shaban Mwakyusa, Sweetbert Mwinula

Shazam 꼬리말

언어 선택:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Shazam 팔로우하기

Loading...