Songteksten

Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote(hubadiliki) Mimi naiweka Imani kwako baba Nipitiapo maji mengi au moto huniachi Unalijua jina langu ewe bwana huniachi Unatengeneza njia hata mito kule jangwani Wewe ndiwe alpha na omega huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani kwako baba Uliwalinda wana Israeli kule Jangwani Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba Wewe huwainua na wanyonge siku zote Watuepusha na hatari kila siku usifiwe Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka imani yangu kwako baba Baba hata mama wanaweza kunikana Marafiki nao wanaweza nigeuka Mara kwa mara maadui wanizunguka Nitaishi kwa ahadi yako bwana, huniachi huniachi Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote Mimi naiweka Imani kwako baba Umeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote(hubadiliki) Mimi naiweka Imani kwako baba
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out