Vergelijkbare songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Czars
Performer
Mohammed Karim
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mohammed Karim
Songwriter
Songteksten
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Cheki ule manzi anavyokata tonight
Shaking her figure to left and to right
Mamanzi wote nataka mfurahi
Nataka m-dance
Ki-experience
Gal you look so romantic tonight
On that outfit imeku-tight
So tuende round sa basi baby
Shake your waistline
Kama Beyonce
Songa karibu nikuonyeshe
Hiyo kiuno nikukamate
Chini kwa chini
Tusakate
From now mpaka che
Au vipi baby
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Hebu just take a look the way she's moving
African sexy gal the way she dancin
Jesus I niko excited
Inna di frenzy yeah
Me wanna be there
Ukikata eeh kata eeh eeh
From the distance you look so sexy
Mi nataka kuku-touch touch
Unavyo-shake shake
Unani-make make
My mind go. waa
So we gonna party until dawn
Baby gal, would you wine and go down
Coz you know umeni-turn me on
The way you rock and roll
Inna di dance floor
Inna di dance floor
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Unanijazz unavyokata
Unavyokata bila kuhata
Ninabaki naona tu raha
Basi dada wacha kukaa
Amka ukatike...
Unanijazz unavyokata
Unavyokata bila kuhata
Ninabaki naona tu raha
Basi dada wacha kukaa
Amka ukatike...
Cheki ule manzi anavyokam
Anavyocheza drum
Anavyokata bambam bambam
Mi napenda uki-dance
Coz you have a chance
Basi amka ukatike
Writer(s): Brian Nguah
Lyrics powered by www.musixmatch.com