Songteksten

Eiyee It's your boy golden Mmmh Deka unavyodeka kama mtoto Mi nitakubembeleza mi ni wakoo Nitazidi kupa vitu motomoto Mapenzi kupendana si mchezo Nakusihi usije niacha mimi solemba Najisihii na mimi nisije kuacha wewe solemba Na tunavyoishii Wanadhani tunadanganyana Si rahisi amini mimi nawe hatutatengana Usiende mbali na miii Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali na mi Kwani bado nakupenda Usiende mbali na mimi Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali na mi mimi mimi Kwani bado nakupenda Nakupenda unanipenda Usije kwenda mbali nami Nakupenda unanipenda Usije kwenda mbali nami Wanapiga misele kila mara Wanatimua mavumbi sisi twala Wanataka mapinduzi Na mapinduzi hawayawezi Maumivu ya mapenzi naogopa sana Hata wivu unaodhani sina roho ya chuma Na tunavyoishi wanadhani tunadanganyana Si rahisi amini mimi nawe hatutatengana Usiende mbali na mi Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali na mimi Kwani bado nakupenda Usiende mbali na mimi Kwani bado nakupenda Usiondoke mbali na mi Kwani bado nakupenda Usiendeeeeee Kwani bado nakupenda Usiondekeeee Kwani bado nakupenda Usiondoke eheh heh Ehee ehe Kwani bado nakupenda Usiondoke ehee heeh Eheh ehee Kwani bado nakupenda Eheee ehhe Unanivuruga ehee Unanivuruga vuruga Unanivuruga we mama Unanivuruga eeh Unanivuruga vuruga Unanivuruga vuruvuru Unanivuruga eeh Unanivuruga vurugaa
Writer(s): Salum Said Nyangumwe Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out