Muziekvideo

Credits

COMPOSITION & LYRICS
thomas mc donald otieno
thomas mc donald otieno
Songwriter

Songteksten

Sota Lyrics by REKLES Sota Lyrics by REKLES Ni funny unadhani unachapaa Buda kusota si dhambi acha kukataa Ni funny unadhani unachapaa Buda kusota si dhambi acha kukataa (Mavo on the beat) Ati we ni sos ukitaka unabuy Uongo sema walai Chocha mbona unajam Bro umesota na unakataa Ati yaani hunanga mali We hushinda umehire gari We hushinda nini na nani Bro umesota na na unakataa Gari ni ya sugarmummy Keja aliomba Mwaniki Looku aliomba jirani Na kwa baze vile anajidai Bazu bazu bazu Hauna kakitu bazu wa uduu IG chocha maisha ya juu Caption Lamu with my boo Lifestyle na madeni Ni kuchotwa chotwa na benki Wacha kupost ukichocha Ati uko Lamu na vile umesota Ati we ni sos ukitaka unabuy Uongo sema walai Chocha mbona unajam Bro umesota na na unakataa Ati yaani hunanga mali We hushinda umehire gari We hushinda nini na nani Bro umesota na na unakataa Cheki ati bro umesota na unakataa Na ati pia umeokoka unaendanga church Unadai una chopa na hauna hata bike Mi adi sijui mbona ama uko mangwai Hmmmh haa! Ama jo ni jaba zimerunda Na we husema unaishi Runda Na we unapatikana daily stage ya Lunga Ayayayaya mbona ulichochana umebuy ndae Bado uko na deni hadi ya mayai Ona mpaka Tala inakudai Zidi kujigamba Ati we ni sos ukitaka unabuy Uongo sema walai Chocha mbona unajam Bro umesota na unakataa Ati yaani hunanga mali We hushinda umehire gari We hushinda nini na nani Bro umesota na na unakataa Ni funny unadhani unachapaa Buda kusota si dhambi acha kukataa Ni funny unadhani unachapaa Buda kusota si dhambi acha kukataa Hmmmh haa! Ama jo ni jaba zimerunda Na we husema unaishi Runda Na we unapatikana daily stage ya Lunga Ati we ni sos ukitaka unabuy Uongo sema walai Chocha mbona unajam Bro umesota na unakataa Ati yaani hunanga mali We hushinda umehire gari We hushinda nini na nani Bro umesota na na unakataa (House of Badass)
Writer(s): Marvin Abwao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out