Songteksten

Nasdaaa Natoka zangu kwetu Kibiti naisaka Dar es Salama Naenda tafuta riziki niwatunze baba na mama Si kiunga na haba na haba ndo kilo inatosha Chunga miguu kuvaa raba bwana zisizo kutosha Anaesema riziki mafungu saba Anakupotosha Riziki mafungu mawili Kupata au kukosa Aloyasema baba Heshima ya nyumba si dirisha Dunia ni saa mbovu mwana Usije ifatisha Vingine vinakaba lazima unywe maji kupitisha Umia upate kovu baba maumivu yatakwisha Hata mate kinywani ya uchungu nayameza kwa tabu jamaa Maisha yangu mazingaombwe Ya maajabu saana Oooh mama ooooh Yeee mama eeeeh (Ooooh shida) (Ooooh shida) (Ooooh shida) Shida zitakwisha lini (Ooooh shida) (Ooooh shida) (Ooooh shida) Shida zitakwisha lini Najipa matumaini nitafuute nisichooke Moyoni nikiamini kuwa Mungu ni wetu sote Ila mbona kwangu sasambu sasambu sipati usiku si mchana Ama kitabu cha riziki yangu tayari kimee chanwa Eeeeh eeeeeh eeeeh Mama mama chama na mogela Yani mimi ndo nategemewa Nakazana shinda kombolela Nikipiga nabutua hewa Hata mate kinywani ya uchungu Nayameza kwa tabu jamaa Maisha yangu mazingaombwe Yamaajabu saana Ooooh mama oooh Yeeee mama yeee Ooooh (Oooh shida) (Oooh shida) (Oooh shida) Shida zitakwisha lini (Mama mamaa yeee oooh shida) (Mama mamaa yeeh oooh shida) (Mama mamaa yeeh oooh shida) Shida zitakwisha lini Wasaaafi
Writer(s): Mbosso Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out