Songteksten

Kamenitekenya tekenya katoto Kamenitekenya tekenya katoto Kanitekenya tekenya katoto Kamenitekenya tekenya katoto Kamenitekenya kamenigusa kunako (Eeh kunako) Kanitekenya kamenipofua macho (Eeh macho) Kanafanya makusudi kama hakataki pipi (Dori dori) Kanafanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki (Torori rori) Kanitekenya Kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi, Kanitekenya Moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi, Kanitekenya Shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji, Kanitekenya Akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji Teke tekenya, tekenya Kaniteke tekenya, tekenya Amenishika kwenye paja, tekenya Namtajataja, tekenya Teke tekenya, tekenya Kaniteke tekenya, tekenya Amenigusa kwenye kwapa, tekenya Yaani mara huku mara hapa, tekenya Kamenitekenya tekenya katoto Kamenitekenya tekenya katoto Kanitekenya tekenya katoto Kamenitekenya tekenya katoto Vanny Boy Nikikatekenya kanatekenyeka Yaani, kanacheka cheka Kamenitekenya kanavyo tetemesha Wami kitonga Sekenke na Sereleka Tekenya Mikono juu ka ana mabawa, Tekenya Upepo sukuma ngalawa, Tekenya Ukizungusha mama napagawa, Tekenya Hadi birika lamwaga kahawa Uki kaaaaati ka kigugumizi Maasai kanipa dawa nishatafuna mizizi Wani kaaatisha kichizi chizi Yaani natapa tapa nashindwa kupiga mbizi Pinda mgongo ukunje mikono Twende taratibu kama konono Kuku kishingo shingo Kuku kishingo Kama mbuzi kagoma kwenda Kuku kishingo shingo Kuku kishingo Kizombi nimetoka milenda kanitekenya Teke tekenya, tekenya Kaniteke tekenya, tekenya Amenishika kwenye paja, tekenya Namtajataja, tekenya Teke tekenya, tekenya Kaniteke tekenya, tekenya Amenigusa kwenye kwapa, tekenya Yaani mara huku mara hapa, tekenya Pinda mgongo Kishingo weka juu Kunja na mikono kama kangaroo Kuku kishingo shingo Kuku kishingo Kama umejinyonga unaning'inia Kuku kishingo shingo Kuku kishingo Fanya waibuka unazamia Kuku kishingo shingo Kuku kishingo Paramia ukuta chungulia Kuku kishingo shingo Kuku kishingo Yaani nyatu nyatu Na nyatia
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Raymond Shaban Mwakyusa, Abdul Juma Idd Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out