Songteksten

London, London The baddest (It's Your favourite boy) Kashkeed on the Track Mi mang'aa napenda life Napenda dem anajidai ati amevai Kama ni looku piga white ni kama amedye Ako machingri mangwai na beer lite Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya) Warukera inama chuchumia (Ala) Hio ni mwiko si miwa umekalia Ni sherehe na haitaki masheria, sheria Nadai mucome, kuna sha Nadia Mukami Sheria lazima mfuate ju ya serikali Askari sura yake wavy ka ya Khali Kali-Sa lazima ufuate kodi Sarkodie bash hatuwezi get cosy Corona, corona tulishikiwa kwa kona Na mbona unaendesha ni kama uko na cholera Afande sa Sheria pia ni wera Kukata maji mnajifanya Musa Nanusa watoi mliomba nani ruhusa Kipusa this time tulibeba Jovial Mbuzi ndio rende hatutaacha za ovyo Mi mang'aa napenda life Napenda dem anajidai ati amevai Kama ni looku piga white ni kama amedye Ako machingri mangwai na beer lite Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya) Warukera inama chuchumia (Ala) Hio ni mwiko si miwa umekalia Ni sherehe na haitaki masheria, sheria Nakata maji nasambuka, nikibleki nazinduka Shetani amepanda jini mkata kamba, serikali inapindua Mi ndo kiboko yao, wakisleki tunapita nao Tena haina kuchao, yaani uuh, baby we ndo mama yao Afande pita ndani yaani we chuma ina lala ndani Shamra shamra za kibabi, uuh we enjoy the party Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche Mi mang'aa napenda life Napenda dem anajidai ati amevai Kama ni looku piga white ni kama amedye Ako machingri mangwai na beer lite Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya) Warukera inama chuchumia (Ala) Hio ni mwiko si miwa umekalia Ni sherehe na haitaki masheria, sheria Kata maji you can't bwogo me Gidigidi maji maji can't koro me Thobo thobo kumguza chobo Ashaskiza utamu hadi kisogo Kukata maji ni sheria But mbona sa unamix Konyagi Ndani ya chang'aa Fathermore Unakataje maji na haujadishi Fisi mimi bleki dem yako mi nadishi Na kama ni vegeteriana bado atakula njiti Nikiwa deep end deep end Si na depend depend Bars kibao sa itabidi umenikunywa Na ka hujaput hii si utabidi umejichuna Mi mang'aa napenda life Napenda dem anajidai ati amevai Kama ni looku piga white ni kama amedye Ako machingri mangwai na beer lite Uuuuuh kukata maji ni sheria (Aiyayaya) Warukera inama chuchumia (Ala) Hio ni mwiko si miwa umekalia Ni sherehe na haitaki masheria, sheria Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche Tunapiga sherehe yaani mpaka kuche (Black Market Records)
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out