Muziekvideo

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Frank Felix Ngumbuchi
Frank Felix Ngumbuchi
Songwriter

Songteksten

Akili yangu Ishachomeka joto la tanuri Maisha yangu Bado yanivuruga Vipaji vyangu Yani kama vimelaliwa kwa kaburi Juhudi zangu Bado zanidodea Naona joto laniunguza Kijana mdogo ila kama ajuza Natumwa boko naenda buza Kichwani maluwe luwe Hata kama hujui Foleni yako iko wapi We pambana usichoke Usiogope adui Ushakimbana na mangapi Pambana usichoke Ole wako oleeee Ukate tamaa Kwa hali ilivyo ngumu kitaa Unafaida gani ustar Nitashika chepe na wana Zege ntabeba ilimradi nipate pay Na nikisha zinyaka bwana ntarudi Kipajihakifagi ihhh Ohhhh hakifagi Naona joto laniunguza Kijana mdogo ila kama ajuza Natumwa boko naenda buza Kichwani maluwe luwe Hata kama hujui Foleni yako iko wapi We pambana usichoke Usiogope adui Ushakimbana na mangapi Pambana usichoke Ole wako oleeee Ukate tamaa Ohh ndiyo kweli tunashida Amini kwamba tutashinda Kunja ngumi funga mkanda Ohh lala ohh lala Amini kweli tunashida Wana kitaa tumechunda Amini kwamba tutashindaa Ohh lala ohh laa
Writer(s): Frank Ngumbuchi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out