Topsongs van Healing Worship Team
Vergelijkbare songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Healing Worship Team
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Healing Worship Team
Songwriter
Songteksten
Tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu
Hatuna hofu katika safari
Shida na matatizo hazitanitisha
Sina mashaka nimebarikiwa
Tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu
Hatuna hofu katika safari
Shida na matatizo hazitanitisha
Sina mashaka nimebarikiwa
Tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu
Hatuna hofu katika safari
Shida na matatizo hazitanitisha
Sina mashaka nimebarikiwa
Ninakaza mwendo sitarudi nyuma
Furaha ya ulimwengu haitanivuta tena
Ninakaza mwendo sitarudi nyuma
Furaha ya ulimwengu haitanivuta tena
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Ninakaza mwendo sitarudi nyuma
Furaha ya ulimwengu haitanivuta tena
Ninakaza mwendo sitarudi nyuma
Furaha ya ulimwengu haitanivuta tena
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Usife moyo ujitahidi uko mbele kuna matunda ya uzima.
Usife moyo ujitahidi uko mbele kuna matunda ya uzima.
Uko mbele kuna matunda ya uzima
Lyrics powered by www.musixmatch.com