Songteksten

Iyee iyeee Mmmmmhhh Maisha yangu yanawewe mungu Tumaini la moyo, kwako mim nimeliweka Msaada Wa karibu bwana, nitakusifu wewe tu nanitakutuza Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana, Gongo lako na fimbo yako vinanifariji bwana Umenifanya wa thamani umenitoa matopeni Umenikung'uta mavumbii ukanibariki Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri Niliyekuwa sifai, umenibariki Only you, only you Only you, Jesus Elishadai Only you My god Only Jesus Ni ww unanitosha Ni ww unaefaa, my god Only you Kila njia ya mtu ni sawa, machoni pake mwenyewe Bali bwana upima mioyo Mawazo tuliyonayo nafaham naweza kujiona watakatifu Ila mbele zake hasara roho ni wadhaifu tu Jinyenyekeze mbele zake tupate thawabu milele Kwa kumtumikia yeye tu Yeye anaponyaa, anaokoa halo halo Kwangu ni mwaminifu huyu yesu Nitapolemewa na mizigo magonjwa na mateso sina wasiwasi tena Nipitapo uvuli wa mauti bwana gongo Lako na fimbo yako vinanifarijii bwana Umenifanya wa thaman umenitoa matopeni Umenikung'uta mavumbi, ukanibariki Umenifanya hodari, ukanipa ujasiri Niliyekuwa sifai, ukanibariki Iyee Only you, Jesus Simba wa yuda Only you, only you my god Hakuna kama wewe Only you, nitang'ang'ana na ww Jesus Jesus only you, ni wewe pekee yako tu Eehhh only you baba wa huruma ehh Jesus mwingi wa rehema ehh Only you hakuna kama wewe My god Mwenye kutoa buree Unayetupenda, Jesus Only you, yesu wangu My god, baba yangu
Writer(s): Henry Lawes, Paul Blake Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out