Songteksten

Mmmmmh aaaah Mmmmh Kila siku mimi naumia na mawazo wapi ntapata mke mwema maishani Wa kunifuta machozi Nikasahau vile nilipotendwa zamani Naona kama ngekewa ah Mtoto mzuri kuwa nami maishani Ninachomwambia ananielewa Nampenda ananipenda sitomwacha silaani Gari pesa sina ndio maana nakueleza mchumba We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba Bora unieleze mchumba Gari pesa sina ndio maana nakueleza mchumba We wa gari na nyumba ama pesa ndio uchumba Bora unieleze mchumba Mi si mgeni wa mapenzi mwenzako Maumivu nayatambua Nipe nikupe ndio ishara ya upendo Haiwezekani we daily unanizingua Mimi si mgeni wa mapenzi mwenzako Maumivu nayatambua Nipe nikupe ndio ishara ya upendo Haiwezekani we daily unanizingua Nisipokuona sina raha eh Naumia na mawazo ooh Nisipokuona sina raha eh Naumia na mawazo ooh(sema) Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua We ni mgonjwa na unahitaji mtabibu Mimi ni daktari kila maradhi nitakutibu We ni mbora kama tunda dhabibu Nikabidhi moyo halafu nijue wapi ntatibu Au ndio uniamini Unajua ukinipa ntakuchezea Au ndio uniamini mama Unajua ukinipa ntakuchezea Unaonekana mpango mzima kama unavyong'aa Una mapenzi ya dhati ukajilavsisha Wenye magari na fedha wengi walishangaa Ukawakana ukasepa bila jibu pokea Unasifika kiuzuri nyingi tabia njema Kiukali kiukweli mi siwezi mimi Ulinyanyua kinywa chako mwenyewe ukasema Hakuna unayempenda zaidi ya mimi Unasifika kiuzuri nyingi tabia njema Kiukali kiukweli mi siwezi mimi Ulinyanyua kinywa chako mwenyewe ukasema Hakuna unayempenda zaidi ya mimi Hakuna unayempenda zaidi ya mimi Iweje unanizingua aah mama Iweje unanizingua Nisipokuona sina raha eh Naumia na mawazo ooh Nisipokuona sina raha eh Naumia na mawazo ooh(sema) Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua Kama haunipendi nijue haunipendi Haiwezekani we daily unanizingua Wewe tu mbona unanizingua Sam Wa Ukweli ingekuwapo umelema aah Motion Records saka Dawa ya mapenzi
Writer(s): Michael Brian Brook, Hukwe Zawose Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out