Vergelijkbare songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
Songteksten
Na yeye ndo kanidaka
Juju juju
Na Penzi lake kama dege la kijeshi
Ye ndo katibua nidhamu
Ananisachi mbaka ndani kwenye fensi,Ayee
Amenivuruga amenibambanya jamani si utani(si utani)
Na kama Padri na msalaba Shekhe na msikiti
Ndo yeye na mimi
Na baby basi stop weka nukta
Ukizidisha mwenzio nitachizika
Hili penzi ama sadaka
Unanipa mbaka nashindwa pa kuweka
Na mara popo kanya mbingu
Miguu juju kama tunacheza judo
Dozi mchana usiku sipati nafuu
Kama naumwa kifaduro
Baby punguza raha mi nakuwa kibonge na nenepa
Kwanii hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafuta
Mwenzako nimekuwa chibonge
Nimetoka minyama
Ona nna mashavu kama napuliza mo. motoo
Nimetoka minyama
Na penzi umejaza sawa ooh
Nimetoka minyama
Mwenzenu nimetoka minyama
Nimetoka minyama
Mwenyenu na nenepa kwa raha
Nilipata majangiri nikadhani mapenzi sio raha
Nilijiona bahiri kumbe sijawahi pendwa
Aye, Sasa napendwa na pesa natoa
Roho mkunjufu nafsi nimeridhia
Akinitega tyu pochi nampatia
Ninavyopenda ngono sijui nitatoboa
Penzi lake nakopea mkopo bank
Nakopeshwa nasidaiwi
Kutwa nazama mgodi wa chumvi
Sipati safura wala kisukari
Na mara popo kanya mbingu
Miguu juju kama tunacheza judo
Dozi mchana usiku sipati nafuu
Kama naumwa kifaduro
Baby punguza raha mi nakuwa kibonge na nenepa
Kwanii hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafuta
Mwenzako nimekuwa chibonge
Nimetoka minyama
Jamani mbona anaupiga mwiingi
Nimetoka minyama
Ananipa full charge wala haringi
Nimetoka minyama
Ona nna mashavu kama napuliza mo. motoo
Nimetoka minyama
(Mara nasema ongeza nasema punguza hadi sielewi)
(Ma nadai nimechoka na tunataka tena yaani sijui)
Writer(s): Warren Frank Kawiche
Lyrics powered by www.musixmatch.com