Songteksten

Ahaaaaaahhaaa Ohoohhoooooohhhh Hebu toka hadharanii Mpenzi nikupe hai Habibi nuril lain Kukukera haitokei Hebu toka hadharanii Mpenzi nikupe hai Habibi nuril lain Kukukera haitokei Kwani umenipa nini? Mpaka nikawa hoi Wengine mimi wa nini Penzi kwako na enjoy Kwani umenipa nini? Mpaka nikawa hoi Wengine mimi wa nini Penzi kwako na enjoy Mtoto wa visiwani Mzurii aaaah najidai Nikupe zawadi ganii? Leo valentine day Mtoto wa visiwani Mzurii aaaah najidai Nikupe zawadi ganii? Leo valentine day Ahaaaaaaaaaaahhh Anaheshima jamani Sikahba halisogei Tukikutana mwandani Huniamkia chechei Anaheshima jamani Sikahba halisogei Tukikutana mwandani Huniamkia chechei Anachovaa mwilini Huwa hakimkatai Macho yake malaini Wala kungu hatumii Anachovaa mwilini Huwa hakimkatai Macho yake malaini Wala kungu hatumii Ni kamaa nurl laini Peponi wanaojidai Anafanana na nani Yoyote hamuuingii Ni kamaa nurl laini Peponi wanaojidai Anafanana na nani Yoyote hamuuingii Ahaaaaaaaaaaahhh Oohhooohhhhhhh Mmeshasema zamanii Mbona hamuendeleei Na matusi ya nguonii Mlitutukana wallah Mmeshasema zamanii Mbona hamuendeleei Na matusi ya nguonii Mlimtukana wallah Uyo mwanaamke ganii Kupendwaa yeye hafaii Mie namuoona queen Mrembo aloo kinai Uyo mwanaamke ganii Kupendwaa yeye hafaii Mie namuoona queen Mrembo aloo kinaiii Akiingia mapishinii Mimi chaa akiepuii Hunipa ndizi mainii Natoezea na chaii Akiingia mapishinii Mimi chaa akiepuii Hunipa ndizi mainii Natoezea na chaii Hunipa ndizi mainii Natoezea na chaii Anafanana na nani Yoyote hamuuingii Nikupe zawadi gani Leo valentinee day
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out