Muziekvideo

Anjella X Harmonize - Kioo (Official Music Video)
Bekijk de videoclip voor {trackName} van {artistName}

Verschijnt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
Anjella
Anjella
Performer
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Anjelina George
Anjelina George
Songwriter

Songteksten

Bboy beats Konde boy call me number one Bakhresa aiiih Angella aaaah Na ikitokea umemuona mvute chini umvambie Mwenzake me sijiwezi Yeye ndio wakunifanya nikapona mwana wa mwenzie Haya maradhi ya mapenzi Anaposhika akipaacha sipaoni Sometimes i feel kaniita peponi Akija pangoni ulimi sikioni She turn me oooh on Yalla yalla Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah) Yalla yalla Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah) Baby nataka kiwe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukicheka me nitacheka nawe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukinuna nitanuna nawe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukicheka me nitacheka nawe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukinuna nitanuna nawe Ah kwenye kivuli cha picha yangu nakuona wewe my boo yeah You do me like I do (mmmmh) Tuwapa maswali yasiyo na jibu tuwapunguze gubu Tuzichore tattoo mmmh yeeeeiiih Yani nimeoza kwako chaka chaka Kipa magoli kwako nanyaka nyaka Chochea kuni moto tayari nishawaka (mmmh yooo) Ukizama unapagusa unapotaka Swala la ufundi sina shaka Ndani ya moyo nishakupa madaraka aaah Only you baby mwengine sidhani Nimekuweka ndotoni nimekuvika kidani cha mapenzi Yalla yalla Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah) Yalla yalla Yakh habibi me napenda raha, huyu mtoto mashallah (mashallah) Baby nataka kiwe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukinuna nitanuna nawe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukicheka me nitacheka nawe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukinuna nitanuna nawe Kioo kioo kioo kioo kioo kioo kioo Ukicheka me nitacheka nawe Only you baby mwengine sidhani Nimekuweka ndotoni nimekuvika kidani cha mapenzi
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Mkombozi Bakari Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out