Muziekvideo

Verschijnt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
Blinky Bill
Blinky Bill
Vocals
Chemutai Sage
Chemutai Sage
Vocals
Sarah Mitaru
Sarah Mitaru
Vocals
Wambura Mitaru
Wambura Mitaru
Vocals
Lisa Oduor-Noah
Lisa Oduor-Noah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sarah Mitaru
Sarah Mitaru
Lyrics
Wambura Mitaru
Wambura Mitaru
Lyrics
Sellanga Ochieng
Sellanga Ochieng
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Blinky Bill
Blinky Bill
Producer

Songteksten

Nimepitia majanga makubwa lakini Mungu Halali oh Ningepotea nisipatikane lakini Mungu Halali oh Nasema kweli Oooooh ooh Mungu Halali oh Oooooh ooh Mungu Halali oh Si lazima unikumbushe kuwa Mimi Mwenye dhambi Najua Tena sana oh Najijua Tena sana oh Oooooh Si lazima useme kuwa mnyonge Hana haki Naona Kila siku oh Tunaona Kila siku oh Oooooh Kwa neema na simama Ila mwamba Ni salama Binadamu hanitishi Mimi natembea kwa imani eh Kwa neema na simama Ila mwamba Ni salama Binadamu hanitishi Mimi Natembea kwa imani Nimepitia majanga majubwa lakini Mungu Halali oh Ningepotea nisipatikane lakini Mungu Halali oh Nasema kweli Oooooh oo Mungu Halali oh Oooooh o oh Mungu Halali oh Ashajionyesha, Anajionyesha, Atajionyesha Oh uuu Ashajionyesha, Atajionyesha Oh uu Hanging in the hustle of life as I Become Something much more than I could try Tried in the shadow of death oh I Arose And I have lived beyond my path Though you beat me down (I won't stay down) Though you kick me down (I won't stay down) Though you beat me down (I won't stay down) Though you kick me down (I won't stay down) Nimepitia majanga majubwa lakini Mungu Halali oh Ningepotea nisipatikane lakini Mungu Halali oh Nasema kweli Oooooh ooh Mungu Halali oh Oooooh ooh Mungu Halali oh Ashajionyesha, Anajionyesha, Atajionyesha oh uuu Ashajionyesha Atajionyesha oh uuu
Writer(s): Bildad Ochieng Sellanga, Sara Mitaru, Wambura Mitaru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out