Songteksten

Umenipe. Umenipe eeh . Umenipenda Umenipe. Umenipe eeh . Umenipenda Pendo lake kwetu lilionekana Aaaah Alipokubali kushuka kama mtumwa Pamoja na kua na hali ile ya kiungu Alijifanya kua hana utukufu Akautwaa mfano wa wanadamu Alinyenyekea Aaaah nakuita Baba Ooooooh waniita mwana Nikijua Niko pendoni Nikijua Niko pendoni Napendwa Napendwa Napendwa Napendwa Kuna raha nyumbani mwa Bwana Na sitaki kuondoka kwa Bwana Kwa yale yote ambayo kwangu umefanya Vipawa vyangu ni zawadi kwako Bwana Ulinijua hata kabla sijaumbwa Uliniona Aaah nakuita Baba Ooh waniita mwana Nikijua Niko pendoni Nikijua Niko pendoni Napendwa Napendwa Napendwa Napendwa (Ni ishara ya Upendo Kumtoa mwanae ampendae kwa dhati Najua wanipenda)
Writer(s): Asheri K Wilbard Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out