Credits

PERFORMING ARTISTS
CARTOON47
CARTOON47
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DAVIS MNANGA OTATWA
DAVIS MNANGA OTATWA
Songwriter

Songteksten

Vinox record aaaarrchew yooh cartoon okee they call me echo
Nisha tuma barua eeh hadi chiwa nishamtumanga nisha tuma salamu hivi kwako zikufikaga x2
Mi sina hali tangu siku ulipo enda sina hali nauguza tu majiraha mhh ulisemaga unanipenda ukasemaga autoenda utadumu na Mimi
Ulisemaga unanipenda wala utoenda ona sasaaaha
Mwenzako bado robo saa mi nife mwenzako nasubiri masaa niondoke x2
Fanya ujee fanya ujee fanya ujee nimekumiss baby x2
Eeeeh eeeh
Mwanzako kumbukumbu bado zijatoka bado zimeniganda mwenzako nitafiatu Maana nina mawazo hadi naisha nakonda
Wanao wanauza baba mama yuwapi sina cha kuwajibu hivi ulipo kwenda mbali wapi mbona unaniadhibu
Nimekongoroka naisha mie yatanishindanga maisha bila wewe
Mwenzako bado robo saa mi nifee mwenzako nasubiri masaa niondoke x2
Fanya ujee fanya ujee fanya ujee nimekumiss baby x2
Fanya ujee baby yoo ooh nimekumiss mwenzio fanya uje
Mwenzako bado robo saa mi nifee mwenzako nasubiri masaa niondoke x2
Written by: DAVIS MNANGA OTATWA
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...