Songteksten

Mhh mhh mhhh Uhh uhhh Mapenzi kanipofua Kiziwi mi kanifanya Hamini Kugombana ni kawaida Nyumbani wanakazana Ndivyo inavyo takikana Subutuu aibu na laana Nimekaahh Toneshwa kidonda machozi kuloa usiku kucha Nimekaahh Huzuni moyoni pakwenda sioni ila komii Mie mie mie Sikutaki tena my lover Oh na na na Nami sikililii tena my lover Oh na na naah Wala sikuwazi tena my lover Oh na na na Ila kwako mi na sema Asante sana kunitema my lover Oh na na na Mhhh Oh na na na Mhhh mhh Oh na na na Asante sana kunitema my lover Oh na na na Mhhh Oh na na na Mhhh mhh Oh na na na Asante sana kunitema Akufukuzae aneni ondoka Hukusinya ukachoka Chunga utu kupotoka ahhh Nimekaaah Toneshwa kidonda machozi kuloa usiku kuchaa Ehh Nimekaaah Huzuni moyoni pakwenda sioni ila komii Toneshwa kidonda machozi kuloa usiku kuchaa Ehh Nimekaaah Huzuni moyoni pakwenda sioni ila komii Wacha wacha wasemee Nina umbangaa Wacha wacha wasemee Bora furaha Wacha wacha wasemee Maziwa lala Wacha wacha wasemee Bora furaha Sikutaki tena my lover Oh na na na Nami siku lilii tena my lover Oh na na na Wala siku wazi tena my lover Oh na na na Ila kwako mi nasema asante sana kunitema my lover Oh na na na Mhhh Oh na na na Mhhh Oh na na na Asante sana kunitema my lover Oh na na na Mhhh Oh na na na Mhhh Oh na na na Asante sana kunitema
Writer(s): Natasha Sanaipei Tande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out