Songteksten

Vijana Barubaru na wewe, ya dada Speak now or forever hold your peace imechukuliwa serious Harusi tumeichukulia loan but clearly, they still don't pity us Ati mahari imechunwa mahali? Kwani fahali walifika sio 50 +? Hio ni issue tunaeza solve our love can speak for us One father ansema, ni lazima tufuate traditions Another father anasema hio ni dhambi juu Mungu alimuonsha vision? Ila, liwe liwalo ntakuoa kwa amani Bila, mvurugano we'll protect our family Ila, liwe liwalo ntakuoa kwa amani (ntakuoa kwa amani) Bila, mvurugano we'll protect our family Liwalo na liwe liwe Liwalo na liwe liwe liwe Liwalo na liwe Liwalo na liwe Liwalo na liwe liwe Liwalo na liwe liwe liwe Liwalo na liwe Liwalo na liwe Usijichokeshe mabega, kila mtu akona bargage Kiti ya therapist ni place poa ya kuzidump Gas ikiisha time mfuko ikona damage Ugali na maji pia ni food hatuezi starve Ukituma wrong text, kudelete sio lazima Hakuna moto unaeza washa mapenzi ishindwe kuzima Nikifa, God forbid, hauwezinyimwa title deed Another family haitatokea best believe Viombo ukiosha me ntarinse, nukuhelp kuosha jeans Setting a good example for the kids Wazazi pia ni lovers they can kiss, nionyeshe your expertise Self-employed, na kazi ni kukuplease Watu wenyu ni wetu na wetu ni wenyu pia Draw the line, communicate, ukiona wana interfere Jiografia ikiingilia nikose kuwa near Bado nina nia ya kukuwania kihisia Liwe liwalo ntakuoa kwa amani (ntakuoa kwa amani) Bila, mvurugano we'll protect our family Ila, liwe liwalo ntakuoa kwa amani (liwe liwalo) Bila, mvurugano we'll protect our family Liwalo na liwe liwe Liwalo na liwe liwe liwe Liwalo na liwe Liwalo na liwe Liwalo na liwe liwe Liwalo na liwe liwe liwe Liwalo na liwe Liwalo na liwe
Writer(s): Dennis Njoroge Wambui, Philip Munyao Mutuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out