Songteksten

Haijalishi tumegombana,muhimu tunapendana Siku zote mapenzi hayakosi mikwaruzano Kama massage si umeziona,sijaleta kona kona Ukweli nakupenda kweli, sina mwingine msemo Ety umeacha msemo ety,ety me sina Yaan kama kuku mdori,sina nyendo Tena usije unda maneno ety, sina radha mchicha poli Nikikosa siombi sorry utazua skendo Shida baridi yanibana mbavu Machozi tiriri kwenye mashavu Usiniuze ka chuma chakavu ni weweee Kama we mchicha me ndo mnavu Na we ndo tag ubavu Bac rudi nijione shupavu nielewe Kama utaki nielewa bac Usiku mwema×2 Usiku mwemwa (ulale salama) Usiku mwema (nakupenda sana) Usiku mwema×2 Usiku mwema (ulale salama) Usiku mwema (nakupenda sana) Nimemisi lako tabasamu Na ile kitu isoniisha hamu Me napagawa ujue,nasiko sawa ujue Mwingi wa busara na nizamu Tajiri wa maneno matamu Weee ndo Pozo langu wee,me naweka wazi wajue Haujiulizi ulivyoondoka umeniachaje,itakuwaje,naishijeee Nakosa usingizi umekwanda mbali we tembe wangweee Kutwa chonde chonde mvua isije Shida baridi yanibana mbavu Machozi tiriri kwenye mashavu Usiniuze ka chuma chakavu ni wee wewe Kama we mchicha me ndo mnavunakupenda Na we ndo tag ubavu Bac rudi nijione shupavu nielewe Kama hutaki nielewa bac Usiku mwema×2 Usiku mwema (ulale salama) Usiku mwema (sana) Usiku mwema ×2 Usiku mwema (ulale salama) Usiku mwema (nakupenda sana
Writer(s): Ibrahim Nampunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out