Credits
PERFORMING ARTISTS
Neema Mudosa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Neema Mudosa
Songwriter
Songteksten
Baba baba bababa hakika wanishangaza wewe unatenda yalio Nje ya fahamu zetu hakika wanishangaza wewe...
Yalionipa Hofu maishani eh MUNGU umetatua kirahisi,hofu mashaka zilizokua Ndani Baba eh ,kwa Sasa sivihisi
Tena yapo mengine yaliovunja Wangu moyo Na tena pengine yangeshaga nitoa roho, Wakati mwingine nilishindwa iona nuru ,kwa hii nafasi nyingine Acha MUNGU nakushukuru...
Kwahio sitaona haya kukusifu kwa unavyo taka naomba nipiganie Baba Naomba nipiganie Kwala
Unavyo nibeba wewe, Kweli Baba wanisongesha kilometa , Sasa kilometa, kilometa, kilometa Kweli kilometa...
Kwahio sitaona haya kukusifu kwa unavyo Fanya Naomba nipiganie Baba Naomba nipiganie Kwala
Written by: Neema Mudosa