Credits
PERFORMING ARTISTS
Moni.b
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moni.b
Songwriter
Songteksten
MY BOY, SUN V ON THE BEAT
AAH AAH AAH AAH.
MWENZENU MIMI NIMEZAMA PENZINI,NA MI KUTOKA SIWEZI NISHAZAMA KWA KINAA.
WA KWANGU DARLING KANICHANGANYA KICHIZI, KASURA KAKE KAZURI SO KA MAKEUP NA INNAH.
MMH HATA KAMA SINA CHOCHOTE CHA KUMPA MY WANGU, YEE ANASEMA LINATOSHA PENZI LANGU.
NA ME SISEMI WALA TUTAJA GOMBANA, HATUWEZI ACHANA TUNALINDA PENZI LETU.
UKIMWONA YEYE KAMA UMENIONA MIMI.
NA UKINIONA MIMI KAM UME MWONA YEYE TU.
NIKIWA MWENYEWE KAMA YUPO NA MIMI, KWANGU MOYONI KWELI NIMEMUWEKA YEYE TU.
AKINIGUSA, TAMU
AKINIBUSU,TAAMU
AKINISHIKA,TAMU
YAANI HAPA HUKU TAMU.
AAH
AKINIGUSA, TAMU
AKINIBUSU,TAAMU
AKINISHIKA,TAMU
YAANI HAPA HUKU,TAMU..
MWENZENU MIMI,NYANG\'A NYANG\'A
ONENI MIMI,NINAVYOPENDWA.
TOKA ENZI, KASHANISHIKA.
NISEME NINI, SIMNAONA.
MMH
BABY ZAMANI,NISHAPENDA ME NISIPO PENDWA
NA ILE HALI NANI MWINGINE ANGELIPENDA.
ZILE USIKU SILALI, KABISA MAZIMA ZIMEKWISHA,
USIENDE MBALI MI MWENZAKO WATANIZIKA.
UKIMUONA YEYE KAMA UMENIONA MIMI,NA UKINIONA MIMI KAMA UMENIONA YEYE TU.NIKIWA MWENYEWE KAMA YUPO NA MIMI KWANGU MOYONI KWELI NIMEMUWEKA YEYE TU.
AAH
AKINIGUSA, TAMU
AKINIBUSU, TAAMU
AKINISHIKA, TAMU
YAANI HAPA HUKU, TAMU.
AAH
AKINIGUSA, TAMU
AKINIBUSU, TAAMU
AKINISHIKA, TAMU
YAANI HAPA HUKU, TAMU
MIX BOY..
Written by: Moni.b

