Muziekvideo

The Mighty Cavaliers - Dunia Ina Mambo [ 1976 ]
Bekijk de videoclip voor {trackName} van {artistName}

Verschijnt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
The Cavaliers Band
The Cavaliers Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
D. Kabaka
D. Kabaka
Composer

Songteksten

Baba na mama waliniusia ewe kijana Kua mwanangu jionee dunia ina mambo yao sikuyasikiza sasa mimi najuta Kweli najionea dunia ina mambo, Walinambia kijana jihadhari n walimwengu hao walimwengu si wazuri kwako kijana yao sikuyasikiza sasa mimi najuta Kweli najionea dunia ina mambo. Baba na mama waliniusia ewe kijana kua mwanangu jionee dunia ina mambo Yao sikuyasikiza sasa mimi najuta Kweli najionea dunia ina mambo, Walinambia kijana jihadhari n walimwengu hao walimwengu si wazuri kwako kijana yao sikuyasikiza sasa mimi najuta Kweli najionea dunia ina mamboooo Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo Ukiwa nacho leo marafiki ni wengi sana watakusifuoo wewe kijana mzuri Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo Ukiwa hunaoo wengi wanakukimbia Na mengi kusema wewe kijana mbaya dunia ina mambo oooo dunia ina mambo Dunia ina mambo oooo dunia ina mambo
Writer(s): D Kabaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out