Songteksten

Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza Ona babio mamio wote wanakulilia Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza Ona babio mamio wote wanakulilia Ndani ya Dar es Salaame ulikuja bure Tena kimwana kimwana hujui Kuchuna Na zile lawama za wale waliokuzoweza Ulikuja jana na leo tofauti sana Tena Bora yule wa Jana, wa leo tofauti sana Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma Tena Bora yule wa Jana, wa Jana leo wa Jana Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma Mbona unawatesa sana Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee Mbona unawatesa sana Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana Ndani ya Dar es Salaam mambo mataam Hayakukuisha We bado mtoto kwa mama hujayajua mengi Mwenda tezi na omo marejeo ngamani Amesema sana mama dunia tambara bovu Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana Ulichokifuata huku pata, umekosa ulivyoacha Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana Kwa vichache ulivyo vitaka, nivingi ulivyoacha Mbona unjitesa sana Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee Mbona unawatesa sana Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee Right, Man Walter Chiks vallo, combinenga Pertio loso guitar Unaleta lawama, wewe unaleta lawama Unaleta lawama, wewe unaleta lawama We mwana uwooo Uchungu wa mwana aujuae mzazii Siku zote milele Analiaaa ooh Kutwa nzima analalama iyee Obaba mama yakoo We mwana rudieee Watafurahi wakikuona Umerejea salamaa Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee Omamee omamee omamee yaya mamee
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out