Songteksten

Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe Nibembeleze, nibebe Eh Yesu, unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe Nibembeleze, nibebe Eh Yesu, unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Eh Mungu angaliya kunena kwangu Na uisikie sauti ya kilio changu Moyo wangu umechoka sana, Baba Kwa ajili ya wingi wa mateso yangu Nafsi yangu imegandamana na mavumbi Niokowe mikononi mwa midomo ya ubwa Kwanini ninateswa sana kwa ajili yako babaga? Niokoe mikononi mwa watu wabaya Fanya hima unisaidie, nibebe Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (aah) Mikononi mwako niwe salama Nimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, nibebe Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba) Nibembeleze, nibebe (Yesu eh) Eh Yesu, unibebe (Baba) Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama Macho yangu yamedhoofukwa machozi Kwani mateso yangu hayapimiki kwa mizani? Kwa kuwa aliyenitukana siye adui yangu Bali ni rafiki yangu tuliyejuana naye sana Tulikula pamoja, tulisali pamoja Kanisani pamoja Bwana asifiwe kwa sana Kumbe mwenzangu alikusudia kuniangamiza, eh Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (Baba) Mikononi mwako niwe salama (Yesu eh) Kweli nimeamini adui wa kwanza ni yule wa nyumbani mwako Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (Baba yangu) Mikononi mwako niwe salama Ata niliyo wasaidiya na wameni shuudiya uwongo Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (aah) Mikononi mwako niwe salama Wengine wakinibeba nitaambulia matatizo, Yesu nibebe Dunia ikinibeba, itanipeleka jehanamu, Yesu nibebe Marafiki wakinibeba watanipeleka pabaya, Yesu nibebe Baba nibebe, Yesu nibebe Nibembeleze, nibebe Nichukue mbiguni salama Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu, eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (Baba yangu) Mikononi mwako niwe salama Nimechoka pekee yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba) Nibembeleze, nibebe (Yesu eh) Eh Yesu, unibebe (Baba) Nichukue unibebe (Baba yangu) Mikononi mwako niwe salama Nifike mbinguni nimwone Eliya (amen) Nifike mbinguni nimwone Yakobo (amen) Pamoja na kiti cha enzi mbinguni kwa baba (amen) Njia za dhahabu nami nakatembelee (amen) Oh baba nibebe, Yesu nibebe Nibembeleze, nibebe, nichukuwe mbinguni salama Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (Baba yangu) Mikononi mwako niwe salama Nakwita Yesu unibebe, mwokozi Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba) Nibembeleze, nibebe (Yesu eh) Eh Yesu, unibebe (Baba) Nichukue unibebe (Baba yangu) Mikononi mwako niwe salama Nifike mbinguni nikamwone baba (amen) Nifike mbinguni nikapumzike (amen) Katika kiti cha enzi nami nikasujudie (amen) Niwaone wenzangu wale walionitangulia (amen) Niikale matunda ya mti wa uzima (amen) Yesu nibebe, baba nibebe Nibembeleze, nibebe nifikishe mbiguni salama Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Yesu eh) Nibembeleze, nibebe (Baba) Eh Yesu, unibebe (Yesu eh) Nichukue unibebe (Yesu eh) Mikononi mwako niwe salama (Baba) Nimechoka peke yangu dunia ngumu pekeyangu siwezi Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba) Nibembeleze, nibebe (Yesu eh) Eh Yesu, unibebe (Baba) Nichukue unibebe (baba yangu) Mikononi mwako niwe salama Nimechoka peke yangu safari ngumu ni ndefu, siwezi Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe (Baba) Nibembeleze, nibebe (Yesu eh) Eh Yesu, unibebe (Baba yangu) Nichukue unibebe (aah) Mikononi mwako niwe salama Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe Nibembeleze, nibebe Eh Yesu, unibebe Nichukue unibebe Mikononi mwako niwe salama
Writer(s): Maureen Nkirote Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out