Tekst Utworu

Heeey, oooooh Hey wonder, when I started I wonder How I started is a wonder Of my stories of wonder So the king was born His soul was won But the message far, lost and forgotten Now unveiled and open Crowned my life experiences, now royal Loyal to the message now tried and tested True to the cause now alive and rested Niko nao, akilini ni wao Na hao ni hao Na hao ni you I hear you in my thoughts I see you I see you in my heart I feel you How will you know what I go through To get through to you I see you In my thoughts I hear you I hear you in my heart I feel you How will you know what I go through To get through to you I see you Niliskiza radio, nikajitizama huko ndani Kulikuwa na guitars, nyatiti pia nadhani Na nilishaa gaagaa matiti ya mama zamani Kama huelewi, hautakuwa na imani Tuko engaged kaa simu, bado ako zile za tease me Sijui kiss me, wengine sijui chips me Sacrifice nimemake hata nimepea industry kidneys Nakamua kaa farmer, saa zingine kaa kidis Kanyari mbegu pesa ngapi, nipande family tree Haujaskia the best things in life are free Nilijua nikitoa kamasi kwa pua nikiwa class three Yuko wapi Frasha na Kriss tudandie mathree Sababu mende akitaka kurule over the kuku Lazima amueke mbwe kaa bodyguard Amlipe zaidi ya bugu Lazima mawe ziwe tatu ndio tupike ugali kuni Mguu mbili mkono mbili, vidole bado ni kumi Unavuka fence tunadigital migrate Tune in cheza kati you can't cut me Shake me, ruka bladder Natema sana naskia kanjo wako rada Mistari excess, nafuatwa na mamistress Juu narun town kaa Kidesh Unataka slap, kam na Shebesh But simu nilipokea, ilibidi ninunue suti I mean si tulikuja baby shower miaka tu ya juzi Mama alimpenda lakini asubuhi hakuamka Na vile alituacha, mama hangetamka Alifunga ulimi four days, alitunda tumbo four days Alikonda aisee, uchungu wa mwana Alijua maana, aliombea manna From fluent akaanza kustammer After siku nne, mwana atazama Pastor alisoma stanza, kitabu ni ya kwanza In the beginning there was the word, then mwangaza Mama alijaribu kujikaza, ikafika part ya mchanga Kwa nini mtoto, na alikuwa tu mchanga Kwa nini Lakini ni njia yetu, sisi sote Leo wanakucelebrate kaa Milton Obote Kesho waliokupigia kura, wameitikia hata karatasi uokote But kidole cha kati, kwa MP hafanyi kazi Kidole cha kati, kwa wanaonajisi Kidole cha kati kwa mapresenter hawachezi Kenyan Kidole cha kati kwa karao anaitisha hongo Knowledge bila busara, ni kama kumwaga maji Sahara Bado am your favorite rapper, favorite rapper Yule favorite rapper Si lazima niwe kwa fimbo, ndio niweze kuwachapa My grandpa alinibless na mistari kwa DNA So lets paint the city red kaa TNA Chupa ina kizibo ndogo, ndio itoshee kwa mdomo Na world imeturn upside down ni vile hatujagundua Ni unajua circle ukiiturn, hauwezi jua Niko na less trust, ndo niwe salama Hata wafuasi wa Yesu, hauskii walimkana Napendwa mji moja mji mbili, hadi ya mji kenda Saa hizo huku city wanakata eyebrows wazichore tena Walinihimiza niwache shairi, nifuate career kwa Kapuka We una bebwa, na unasema carrier ananuka Napendwa gutter, Eastlando na Seti huko Waren Pia mapunk, hadi huko ndani Karen Hadi huko Naija mahali hatuchezwi Nalearn mingi foreign, na current, mi ndio the apparent Nipe tarehe, number one kaa Starehe Niko hapa hata mziki ikienda kwa band Bado niko in search of the promised land Vile amri za Musa kwa wale Ni nyimbo za misa za kale Kutwa na kucha mimi ni weee, heey Nuru huu, nije niwaangazie Nisikose, waje waangamie Niwapose moyoni wanikumbuke Mi na mziki, tuje tuwakomboe Na hao ni you I hear you in my thoughts I see you I see you in my heart I feel you How will you know what I go through To get through to you I see you In my thoughts I hear you I hear you in my heart I feel you How will you know what I go through To get through to you I see you
Writer(s): Chuck Berry Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out