album cover
Wewe
album cover
Utwór Wewe został wydany 15 maja 2017 przez 549587 Records DK jako część albumu The Bridge
Released15 maja 2017
Wytwórnia549587 Records DK
JęzykEnglish
BPM179
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia

Tekst Utworu

Nataka kutembea nawe
Kila siku niishipo mi nibaki nawe
Nataka kutembea nawe
Na popote niendapo nikufuate wewe
Nataka kutembea nawe
Kila siku niishipo mi nibaki nawe
Nataka kutembea nawe
Na popote niendapo nikufuate wewe
Upendo wako wanishangaza
Uwepo wako wanipumbaza
Upendo wako wanishangaza
Uwepo wako wanipumbaza
Ni wewe, wa upendo ni wewe
Ni wewe, wa ushindi ni wewe
Ni wewe, kila siku nitakusifu
Bwana ni we, ni we, ni wewe
Nimetafuta juu chini anayefanana nawe
Na sijampata, mimi sijampata
Na nikagundua twaishi maisha ya kutafuta
Bado twavumbua
Upendo wako wanishangaza
Uwepo wako wanipumbaza
Upendo wako Baba wanishangaza
Uwepo wako, Uwepo wako wanipumbaza
Ni wewe, wa upendo ni wewe
Ni wewe, wa ushindi ni wewe
Ni wewe, kila siku nitakusifu
Bwana ni we, ni we, ni wewe
Nimeelewa ni wewe
Haubadiliki milele
Ewe Baba naomba yafungue macho yangu
Nione hakuna kama we
Bila wewe siwezi enda mbele
Ninajua nitatembea na wewe
Na wewe, nitatembea na we Baba
Na wewe, nitaongea na we Yesu
Na wewe, nataka kuishi na wewe Baba
Bwana na we, na we, na wewe
Upendo wako, upendo wako Baba wanishangaza
Uwepo wako, uwepo wako Yesu, wanipumbaza
Upendo wako, upendo wako Baba, wanishangaza
Uwepo wako, Uwepo wako Baba wanipumbaza
Aiyaiya wanifanya naimba, upendo wako wanifanya naimba
Aiyaiya wanifanya niimbe, upendo wako wanifanya niimbe
Aiyaiya kwani ni wewe Baba, ni wewe pekee
Bwana ni we, ni we, ni wewe
Aiyaiya
Tugi Mlamba cheza guitar
Daudi Gitoho kamata bass
Aiyaiya
Kamata bass kamata bass
Bwana ni we, ni we, ni wewe
Written by: Gideon Kimanzi, Noel Nderitu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...