Teledysk

Moyo Tulia
Obejrzyj teledysk {trackName} autorstwa {artistName}

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Songwriter

Tekst Utworu

... Haya! Mmmh... Eh! Mmmmh... Yale maneno uyasemayo Ona ndege wa angani Wanakula hawapandi Na tena hawavuni Ni sawa sikuelewa $&(% vya nini Walikula Imebaki Wengine wamekosa Kumbe ipo maana Ya kushukuru kwa kidogo Moyo wangu unalaumu ila shida waijua Wapo wal'okosa kabisa Na wanashukuru Mungu Wewe kutaka ma fashion Unamlaumu Mungu Unanifanya moyo nitamani kua kama yule Hali yangu duni Nitadhalilika (Moyo wangu) Tulia tulia Usikufuru Mungu (Moyo wangu) Tulia tulia Mengine ni ushamba Wapo wengi Wenye shida Huwajui. Huwajui. Wako wengi Wenye dhiki Huwajui... Huwajui. Unajua dunia ni njia Unataka kujenga ghorofa Ya kazi gani Ata usipo salimia Jua utazikwa chini Jeuri ya nini Unanifanya moyo nitamani kua kama yule Hali yangu duni Nitadhalilika Nimeshafanya mengi kubatili faida haiko Bora nimpe sifa Mungu Baki na amani moyo. (Moyo wangu) Tulia tulia Usikufuru Mungu (Moyo wangu) Tulia tulia Mengine ni ushamba Moyo! Utuliee Moyo. Ai! Haayy! Moyo. Eh! Utulie Oh moyo moyo wangu Utulie. Oh Moyo moyo moyo Utulie
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out