album cover
Number Moja
5903
African
Utwór Number Moja został wydany 10 lipca 2019 przez Kidum Kibido jako część albumu The Best Of Kidum Kibido
album cover
Data wydania10 lipca 2019
WytwórniaKidum Kibido
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM200

Tekst Utworu

Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja

Nimeshatembea, nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona
Nimejaribu kutafuta kinachoweza kuridhisha moyo wangu
Nikatangangatanga mashariki na kusini ili mradi nitafute
Nikamangamanga magharibi kaskazini kupata kile ninachotaka wimbo
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Juhudi zangu zote zilipogonga mwamba nikafa moyo nikakata tamaa
Ndio bwana akaja akanigusa, nikasimama nikaanza kutembea
Asante bwana Mwokozi wangu, nimetambua kama nimekupata pewa wimbo, pewa sifa, asante Yesu
Nimeshatembea, nimeshazunguka kila pahali nikifika kila kona
Nimetambua, nimekupata Bwana Yesu, Mwokozi wangu, nafasi
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Nafasi yote moyoni, nimeshaipa kwa Yesu ni namba moja, moja, moja, moja
Written by: Kidum Kibido
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...