album cover
Tulia
4771
Gospel
Utwór Tulia został wydany 31 grudnia 2019 przez Bwenieve jako część albumu Matendo
album cover
AlbumMatendo
Data wydania31 grudnia 2019
WytwórniaBwenieve
Melodyjność
Akustyczność
Valence
Taneczność
Energia
BPM90

Teledysk

Teledysk

Tekst Utworu

[Intro]
Tulia tulia na ujue
Mungu wako
[Verse 1]
Upitapo chini ya uvuli wa mauti usiwe na hofu
Asema Bwana yuko pamoja nawe
Atembea nawe, afuta machozi
Tulia, ujue yeye ni Mungu
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Verse 2]
Shida nyingi, mateso mengi, kilio kingi duniani
Jipe moyo utashinda
Aliyeanzisha, kazi nzuri ndani yako we
Ni mwaminifu kutimiza
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Akisema, atatenda
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
[Verse 3]
Wewe Jehovah rafa, Jehova Jireh, Jehova Shalom Ebeneza
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
Elshadai, Elgibo, wewe Jehova Shamah Ebeneza
Ahadi zako hazivunjiki kamwe
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Written by: Evelyn Wanjiru
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...