Tekst Utworu

Okey uh, toto shape toto guu guu Kila Unapopita watu macho juu juu Baby ka umebeba kichuguu Alafu chuchu ndogo kama vichuguu Haha, enjoy kuwa na mimi ma Mwili wako Nifunike na madini ma Safari ya angani na majini ma Mi ndio king we ndio queen ma Have it baby pie, my baby bi millionare Vikao vyangu mawaziri na ma mayor Zinaletwa ndoa mmezifill ma Bellaire Matumizi bei juu na bill tunagombea Shoga zako unawatesa Hawapendi kukuona na Shetta Tunavyozitumia pesa Enjoy baby wala wasikupe pressure Okey, bonge la toto mama Wanipa vyote we ni bonge la toto mama Chii, bonge la toto mama Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama Mami mi ni billionaire Nifilisi hadi nirudi kwenye u millionaire Tafuta ki ben 10 ukihonge Ila nikikifuma aisee kisiombe Jua nakuzimia ma Nataka tuzunguke hii dunia ma Pesa kuzitumia ma Tusisahau Serengeti Tanzania ma Tukacheki nyati na swara Pesa nyingi baby wala sipati hasara Ikibidi Ita na wenzako Maana huwezi kumaliza peke yako Shoga zako unawatesa Hawapendi kukuona na Shetta Tunavyozitumia pesa Enjoy baby wala wasikupe pressure Okey, bonge la toto mama Wanipa vyote we ni bonge la toto mama Chii, bonge la toto mama Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama Bonge la toto mama We ni bonge la toto mama Bonge la toto mama We ni bonge la toto mama.
Writer(s): Nurdin Bilal Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out