Tekst Utworu

(Haya!) Woza, woza, woza, woza, woza Wakacha, wakacha, wakacha, wakacha Wanakwambia kama kawa, kama dawa, eh! Hii yapa nyingine tena Sauti ya princess Snura, nyonga laini mkali wa stejini Nipo na producer bora Habidaddy Kataa na hii tuone sasa We Hyperman HK msalimie huyo, japo kuwa msaliti Mwambie asiyempenda kaja kivingine Utaipenda tu, hii yapa hii Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Jamani chura huyo, mama chura huyo Masela chura huyo, mama chura huyo Kinondoni chura huyo, mama chura huyo Kiwalani chura huyo, mama chura Mwananyamala chura huyo, mama chura huyo Ilala chura huyo, mama chura huyo Mbagala chura huyo, mama chura huyo Temeke chura huyo, mama chura huyo Manzese chura huyo, mama chura huyo Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Kama kupenda, Snura nishapenda Sihitaji tena sababu nishatendwa Nilipe nisepe tuonane kesho Au kama hutaki fanya mpango uende Nishachoka haya mapenzi, nishachoka Nishachoka mi kutendwa, nishachoka Yanaumiza moyo Mapenzi yanaumiza moyo Masela yanautesa moyo Mapenzi yanaumiza moyo Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi (kunywa sumu) Siwezi kunywa sumu kisa mapenzi (kunywa sumu) Akileta mchecheto, mwache akamatwe Akileta mchakato, acha tumfate Akileta mchecheto, mwache akamatwe Akileta mchakato, acha tumfate Akileta shobo, mvute, mvute, mvute Tutampa mkong'oto, mshike, mshike, mshike Akileta shobo, mvute, mvute, mvute Tutampa mkong'oto, mshike, mshike, mshike Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Jamani chura huyo, mama chura huyo Masela chura huyo, mama chura huyo Kinondoni chura huyo, mama chura huyo Kiwalani chura huyo, mama chura Mwananyamala chura huyo, mama chura huyo Ilala chura huyo, mama chura huyo Mbagala chura huyo, mama chura huyo Temeke chura huyo, mama chura huyo Manzese chura huyo, mama chura huyo Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Chura ananesanesa, chura Chura anarukaruka, chura Wanakwambia kama, kawa kama dawa, eh We Reki mommy ole wake Tanga anatokamo Mwambie mtesi apeleke moja, moja Tunakumbuka sasa zile adhabu za shule Tunaruka kichura chura Kichura chura, ruka kichura chura Kichura chura, mtesi kichura chura Kichura chura, kina dada kichura chura Kichura chura, jirushe kichura chura Kichura chura, peleka kichura chura Kichura chura, jirushe kichura chura Kichura chura Nipo na Saccoss Mayanga Wajela-jela nao wanaruka Walete kati kati, walete Walete waje wacheze walete Walete masela walete Walete ma-sister du, walete Hata ukinuna bakora zinaendelea tu Ki-Bob Marley, ruka ki-Bob Marley Ki-Bob Marley, tucheze ki-Bob Marley Ki-Bob Marley, majita ki-Bob Marley Ki-Bob Marley, kinadada ki-Bob Marley Ki-Bob Marley, ruka ki-Bob Marley Ki-Bob Marley Mc Sudi tulia, chura anapenda kuoga ila sio na sabuni
Writer(s): Snura Mushi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out