Tekst Utworu

S2kizy baby Labda uliza moyo wangu Ndo umenifanya mi nifike mapema Mama uliza moyo wangu Unavonitesa imenibidi kusema eeeh Zamani Toka zamani mama Kuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani Usikatishe penzi ghafla ndo Kwanzaa penzi letu linago tu Kama shida wote tumepata Sasa unachokitaka unakipa boo! Usilikatishe penzi letu maana kwanza linago tu Unachokitaka unakipata Sasa! Aaaaaah mapepe ya nini?(Pepe) Mapepe ya nini?(Pepe) Mapepe ya nini? Nishatulizana nawe punguza mapepe Aaaaaah mapepe yanini?(Pepe) Mapepe ya nini?(Pepe) Mapepe ya nini? Nishatulizana nawe punguza mapepe ...!!! Mama serebu Africa mama serebu Mziki una matter shebeduka napenda ile vidole uking'ata macho juu Mmmmh Yako thamani ni zaidi ya dhahabu Nafanya hisani usije pata tabu Zamani Toka zamani mama Kuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani Usikatishe penzi ghafla ndo Kwanzaa penzi letu linago tu Kama shida wote tumepata Sasa unachokitaka unakipa boo! Usilikatishe penzi letu maana kwanza linago tu Unachokitaka unakipata Sasa! Aaaaaah mapepe ya nini?(Pepe) Mapepe ya nini?(Pepe) Mapepe ya nini? Nishatulizana nawe punguza mapepe Aaaaaah mapepe yanini?(Pepe) Mapepe ya nini?(Pepe) Mapepe ya nini? Nishatulizana nawe punguza mapepe Acha iendee Acha iendee Punguza mapepe
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Juma Mussa Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out