Dostępny w

Kredyty

PERFORMING ARTISTS
Japhet Zabron
Japhet Zabron
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Japhet Zabron
Japhet Zabron
Songwriter

Tekst Utworu

Wengine ni vijijini Wengine mjini, ndiko tulikozaliwa Maisha ya chini, tulichunga kondoo yaani kama vile Musa Na Dunia ina mengi Mda inatisha si rahisi nitoboe Uliingilia kati Salama nivuke hata nikafika hapa (Chorus .) Pumzi,uhai Huyu ni Mungu Cheo na elimu Ni Mungu bado Hata kuinua Watu ni Mungu Ahsante Yesu kwa wema nazo fadhili zako Ndoa yenye amani huyu ni Mungu Kunipa furaha nyingi Ni Mungu bado Uwezo wa kuwa hapa hapa Ahsante Yesu Umekubali nifike hapa. Nikikumbuka Mungu Cha kukulipa Ulidhike ufurahi Hupungukiwi kitu Ni wewe Mungu Uliye mwanzo na mwisho Ninalo ombi moja Niimarishe Uyatumie maisha yangu Nikakupe na moyo wangu Utu na Mali Nitumie upendavyo. (Repeat chorus).
Writer(s): Japhet Zabron Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out