Tekst Utworu

Cha! Ah! Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Tai! We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua Isije siku miezi, naye akanisumbua Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutua Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi Wasije wakanitenda Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli Wakanicha wakaenda We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaa Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? (Cha, ah!) Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Yasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti-peti Usimtake ka 'Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama Jokate Ila sauti ka' Wema akiwa analia, kicheko kama cha Fetty Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi Wasije wakanitenda Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli Wakaniacha wakaenda We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaa Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? (Cha, ah!) Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh) Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?) Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (mama-ma, eh, eh) Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?) (We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua) (Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua) (We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua) (Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua)
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out