Tekst Utworu

Wasafi Ayo, Lizer Wasafi Records Niamini eeh, mimi mwingine sina darling Na sikufunzwa mbaya tabia Mahaba niue mimi kwako chali chali Ndani donda funza nishagajifia Bora kukueleza imenishinda siri We ndo umeniweka kiganjani Na nikiteleza unikoshe na mwili Chonde usije nieka visangani Nawe chunga kauli zinaponza Zitafanya tuwe maadui maadui Kinywa tia kufuri na macho fumba Usije kutamani mabedui Mabedui, hii Dede dede Simama wakuone you are my number one Dede dede Sitaki mwingine you are my only one Dede dede Simama wakuone you are my number one Dede dede Mi sitaki mwingine you are my only one Natamani makosa yasingekuwepo Tusikosane oh baby yoyo Na samahani ingekuwa kama kichekesho Tuchekeshane Oh bila choyo Naweka wazi shahidi moyo wangu We ndo fundi wa raha zangu Kachumbari uzandu uzandu kwako bwerere Mkuna nazi wali kwa matandu Mi pweza na ngurupandu Unavyo mix-i na chachandu sinaga kwere Basi chunga kauli zinapoza Zitafanya tuwe maadui maadui Kinywa tia kufuri na macho fumba Usije kutamani mabedui Mabedui, hi Dede dede Simama wakuone you are my number one Dede dede Sitaki mwingine you are my only one Dede dede Simama wakuone you are my number one Dede dede Mi sitaki mwingine you are my only one Dede dede Simama wakuone you are my number one Dede dede Sitaki mwingine you are my only one Dede dede Simama wakuone you are my number one Dede dede Mi sitaki mwingine you are my only one
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out