Tekst Utworu

Yoh Ahaa This is the guy We are always pop to the top Man water Naanza na hii, sifa yangu mkweli Misifa mingi na ukwezi, mi sina makuzi Ntakupenda wewe Ntampenda mama Na baba yako Na ndugu zako Ntakupa mapenzi mimi Wamvungule mvungule Hujawahi pewa Wamvungule mvungule Nataka wasikie Wamvungule mvungule Kwa mvumo wa radii Tatizo lako sheri Unanistaajabishaga Unavyonipendaga kweli Roho inaniuma Wivu naona Mi naumia I'm in love wewe Nampenda sana Tupendane Tupendane penzi liwe sawa sawa Lisiwe nusu na robo kwa kilo Penzi robo nyingine yende kule Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa Tupendane kama mabata na mamba(na mamba Na siku zote tuishi kwa furaha Tupendane ba kongo, tanzania Uganda, kenya Burundi na Rwanda Na Zambia mpaka Mozambique Ghana mpaka Nigeria Cameroon Sudan mpaka Somalia Africa Africa nzima tupendane Tupendane Tupendane penzi liwe sawa sawa Lisiwe nusu na robo kwa kilo Penzi robo nyingine yende kule Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa Tupendane kama mabata na mamba(na mamba) Na siku zote tuishi kwa furaha Tuishi kwa furaha Tupendane Uwe wangu wa moyoni Ukisikia homa ile homa ya jiji ni wewe Wanajiita ma sponsor my love Wasikuzingue Wanajiona ma bosslasy Maboss baby Tena wife material my honeybunny I never knew we unabana Wengine wote wanaachia yaah Wamvungule mvungule Wamvungule mvungule Ntakupa mapenzi mimi Tupendane Tupendane penzi liwe sawa sawa Lisiwe nusu na robo kwa kilo Penzi robo nyingine yende kule Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa Tupendane kama mabata na mamba(na mamba) Na siku zote tuishi kwa furaha
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out