Tekst Utworu

Kimbunga hicho Kimbunga hicho Kimbunga hicho Yani tunazoa ZOA Mwaga jasho miguu iwake moto (Timua Vumbi timua) Kisigino kimegwe na ugoko (Timua Vumbi timua) Luka luka Tuziamshe popo (Timua Vumbi timua) Vua shati ukisikia joto (Timua Vumbi timua) Sa tunakisanua (Vumbi) Tunawachafua (Vumbi) Tunawapa mafua (Vumbi vumbi timua vumbi) Tunakata funua (vumbi) wakizingua (vumbi) Tunawapa mafua (vumbi vumbi timua vumbi) Wanatukimbiza wasafi eeh wapo makundi makundi Lakini hawatupati eeh tunawaachia vumbi Timua Vumbi timua Timua vumbi timua Timua Vumbi timua Timua vumbi timua Timua Vumbi timua Timua vumbi timua Timua Vumbi timua Timua vumbi timua Ooooh Ka mashine yakoboa mupunga (Timua Vumbi timua) Sunami changanya na kimbunga (Timua Vumbi timua) Gwaride la jeshi (timua) Ka muchanga cement (timua) Chana jamvi kapeti (timua timua Vumbi timua) Leleeeelee Timua muchanga Kama unalicheza vanga Mzuka ukipanda Vua shati kama mwanga Leleeeelee Timua muchanga Kama unalicheza vanga Leleeeelee Mzuka ukipanda Vua shati kama mwanga Asa kachili saga(saga saga) Kamatia zaga (zaga zaga) Jichukulie dagaa (dagaa dagaa) Kinaga ubaga Twende timua Timua vumbi timua Timua vumbi timua Timua vumbi timua Timua Vumbi timua Timua vumbi timua Timua vumbi timua Timua vumbi timua Timua Vumbi timua Mwendo kama farasi (Ohohooo tunawatimua timua) Kasi kama risasi (Ohohoo tunawatimua timua) Tuko nduki kibati (Ohohoo tunawatimua timua) Hawatukamati (Ohohoo tunawatimua timua) Asa kitimue (timu timu) Yani chimba (timu timu) Fukua fukua (timu timu) Chimba chimba(timu timu) Eeeh vidole chepeo (timu timu) Kiuno mpini(timu timu) Fanya kama koleo (timu timu) Ifukue kwa chini(timu timu)
Writer(s): Daniel Shekwoyemi, Nnaemeka Okorie, Abdul Nasibu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out