Tekst Utworu

Unaskia beat unatetem Niko na kutu hadi kwa both kula itina Flex na ngeus jinake Makena Ako fine fine we mshike mthomo Makena Niko na kutu hadi kwa both kula itina Flex na ngeus jina yake Makena Ako fine fine we mshike mthomo Makena Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Ako zabe anashikisha na Thiong'o Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Kana bubble kanapendaga mdomo Buda boss kumbe ngeus ni wagithomo Anadai D na vile hapendi masomo Msomo unaweza floss sipendangi mdomo Me si form 1 itabidi mseti kikomo Si normal chura kupatana na ongongo Kwa ng'ango, skinny nigga kupatana na momo Na hormones Zake zimepanda past kong'o Leo manduru na masifa ni za Thiong'o Ka ni ngeus wagithomo na anatupa mdomo Anabonga chafu nakasafish na omo Kana lia lia kanyamazishe na lolo Unaweza kapatia ju anawashwa na hormones Ka ni bash anakujanga na kiondo Anatakanga mabeer nyi mkikata mavodo Colour clash na anavibe na Opondo Anataka tu kasoup na samaki ya mwongo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Ako zabe anashikisha na Thiong'o Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Kana bubble kanapendaga mdomo Kuomoka ka chopi siwezi kuambia rangi Na ukizua zogo bado utapunguza Nacheza kibazenga sichezi kama mhenga Noma ni afande anataka ka sina Juu kurequest hadi racho anakunyima Ati ukona tattoo kumbe buda ni ufucha Juu kureqest bado racho anakunyima Na bado anagawa na bado ye hakupendi Knock knock who's there ngeus who's there Ngeus wagithomo Ganga, niaje Swat si unipe hadi kong'o Bombo, me ni raz na sipendi local Vovo, nimechapa nikalala fofo Don't touch, ka ni toja nimepiga lombwe Nono, hadi straight anadai kombo Shandrice biz nitakuchomoa hadi koko Jogoo siwezi mind shimo ka amemwaga Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Ako zabe anashikisha na Thiong'o Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Kana bubble kanapendaga mdomo Manigga wamenyanya kijapan niggas aki Nigga, nigga fucking Manjege wapige luku kesho wakuje camping Wakurutu wakona kutu me nataka wapakwe rangi Zima hiyo kitu ka inanuka imeoza Akibonga shit mwambie akaoge Kijana mpole smart occupation imported Msupa kwani gani nakuuliza uko hali gani Uko fiti uko rahani? Nakulolo uko rahani Ilikuwanga we na nani? Tulia kwanza we na nani? I Likuwanga we na nani? Tulia kwanza we na nani? Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Ako zabe anashikisha na Thiong'o Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Wagithomo ni ngeus wa githomo Kumbe dem joh ni ngeus wagithomo Kana bubble kanapendaga mdomo
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out