Tekst Utworu

Mhhhhh mhhhh Kosa si kosa tunashout hadharani Sometimes njoo tugombanie chumbani haya mapendo yasikatie njiani Napenda ukifurahi cause moyoni my number one Haki ya mungu walahi kesho tutaiona sky Napenda ukifurahi cause moyoni my number one Haki ya mungu walahi kesho tutaiona sky Baby i love you forever zaidi tuwe wote togather baby i love you forever zaidi tuwe wote togather Maneno maneno yasivuruge amani tuipinge kesho wasichekee pembeni Ana anado si mchezo si utani napenda ukismile cause moyoni we mjanja wangu Haki ya mungu huelewi jinsi unaniweka high Napenda ukismile cause moyoni we mjanja wangu Haki ya mungu huelewi jinsi unaniweka high Baby i love you forever Zaidi tuwe wote togather Baby i love you forever zaidi tuwe wote pamoja Uouooh Nyota na mwezi Mashahidi watuone mchana usiku njozi yako isikome kwa lugha zote sema wala usikome ilimradi moyoni wee wajua ukweli wote Baby i love you forever zaidi tuwe wote togather Baby i love you forever zaidi tuwe wote pamoja Yeah yeah Baby i love you forever zaidi tuwe wote togather Baby i love you forever zaidi tuwe wote pamoja
Writer(s): Buddy Killen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out